Chameleone afunguka kuhusu bifu ya Jeff na Moze
Jose Chameleone, amezungumzia sakata la ugomvi unaoendelea kati ya Moze Radio na Jeff Kiwa baada ya kupata taarifa akiwa ziarani Brussels, na kusema kuwa kwa nafasi yake hawezi kuchukua upande wala kutoa maoni yoyote kutokana na yeye kuwepo mbali.