Kili Music Tour Mwanza burudani tupu TZ
Ziara kubwa ya muziki ya Kili Music Tour, baada ya kuwarusha wakazi wa Moshi kikosi kizima kipo ndani ya jiji la Mwanza kwa kwa shughuli moja tu ya kudondosha bonge moja ya burudani ambayo tayari sasa imekwishaanza wakati huu pale CCM Kirumba.