Kili Music Tour kutinga Kahama Mwana FA akitumbuiza stejini Baada ya wakazi wa Jiji la Mwanza kujitokeza kwa wingi kushuhudia burudani ya Kili Music Tour, katika uwanja wa CCM Kirumba makamuzi yanaelekea Kahama, Jumamosi hii ya Tarehe 07, katika uwanja wa Halmashauri. Read more about Kili Music Tour kutinga Kahama