Ban Ki Moon ampongeza Kikwete Rais Kikwete alipokutana na Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon Toronto, Canada Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesifu jitihada za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mchango wake mkubwa katika kupigania Afya ya Mama na Mtoto. Read more about Ban Ki Moon ampongeza Kikwete