Mnyika alia na ahadi hewa bajeti wizara ya maji
Mbunge wa Ubungo, Mhe. John Mnyika leo ametaka kuahirishwa kwa mjadala wa bajeti ya Wizara ya Maji mpaka hapo fedha zitakapoongezwa kwenye bajeti ya wizara hiyo, fedha alizodai kuwa zimekuwa ni ahadi hewa.