TCRA yakamata wezi wa huduma za mawasiliano

Mkurugenzi mkuu wa TCRA, Profesa John Nkoma.

Raia watatu wa Kenya na Mtanzania mmoja jana wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kutoa huduma ya mawasiliano ya simu za kimataifa pasipo idhini ya Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS