Serikali ya TZ kudhibiti kazi feki
Katika jitihada za kurasimisha kazi za sanaa hapa Tanzania na pia kuhakikisha wasanii wanafaidi kupitia kazi zao za sanaa, hususan katika upande wa muziki na filamu, Serikali ya Tanzania imetangaza kuanza kwa mchakato wa kuziondoa kazi feki za sanaa.