Aliyebaka mwanafunzi apandishwa kizimbani Watuhumiwa wakiwa katika eneo la Mahakama Mahakama ya wilaya ya Morogoro imempandisha kizimbani Mohamed Haji Mgembe, akikabiliwa na mashtaka ya kumbaka na kumlawiti mwanafunzi mwenye umri wa miaka 12. Read more about Aliyebaka mwanafunzi apandishwa kizimbani