Zawadi ya Miss Tanga yawasili Gari aina ya Toyota Vits ambayo itatolewa kama zawadi kwa mshindi wa shindano la urembo la Miss Tanga Zawadi kwa ajili ya mshindi wa shindano la kumsaka Miss Tanga, imewasili jijini humo tayari kwa shindano litakalofanyika Juni 21. Read more about Zawadi ya Miss Tanga yawasili