Kubaff amshtukia Bamboo

Rapa Abbas Kubaff, ameendelea kushambulia msanii Bamboo ambaye hapo siku za nyuma walikuwa wakifanya game ya muziki kama kundi la K South, na kusema kuwa Bamboo anajitafutia umaarufu kwa kumhusisha Mungu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS