Bongo Movie yapata msiba tena

Klabu ya Bongo Movie, kwa mara nyingine imepata pigo la kuondokewa na moja ya wasanii wake, Rachel Haule aliyefariki dunia usiku wa jana baada ya kupata tatizo wakati akijifungua.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS