Mwili wa Tyson kuagwa Jumatano
Mwili muongozaji filamu maarufu nchini Tanzania Marehemu George Tyson, utaagwa keshokutwa Jumatano saa 4 asubuhi katika viwanja vya Leader Club Kinondoni jijini Dar es Salaam, kabla ya kusafirishwa kuelekea nyumbani kwao nchini Kenya kwa Maziko.