Radio na Weasel wafanya kweli Moze & Radio watua nchini Rwanda Kigali Baada ya ugomvi mkubwa ambao umeyumbisha jina la Radio na Weasel kwa kiasi fulani, wasanii hawa waeonesha mshikamano na kujituma katika kazi na kufanikisha onesho lao mjini Kigali Rwanda kwa mafanikio. Read more about Radio na Weasel wafanya kweli