Taifa stars uso kwa uso na Flames ya Malawi Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars Taifa Stars na Malawi (Flames) zinapambana kesho (Mei 27 mwaka huu) katika mechi ya kirafiki ya kimataifa itakayochezwa uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 11 kamili jioni. Read more about Taifa stars uso kwa uso na Flames ya Malawi