Bebe Cool, Irene katika Addiction
Baada ya mafanikio makubwa kupitia kolabo yao ya Love Letter, wasanii wakali wa nchini Uganda, Bebe Cool pamoja na Irene Ntale kutoka Gagamel Crew wameamua kuungana tena pamoja na kufanya ngoma inayokwenda kwa jina Addiction.