Wadau walia na ada leseni za biashara Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mapato nchini Tanzania TRA, Rished Bade. Mamlaka yake ndio mkusanyaji mkuu wa kodi, mapato na ushuru wote wa serikali. Serikali ya Tanzania imeshauriwa kuondoa ada katika leseni ya biashara ambayo inaweza kumsababishia mfanyabiashara mdogo kurudi nyuma kimaendeleo. Read more about Wadau walia na ada leseni za biashara