Cricket U19TZ waendelea kujipanga Afrika

Baadhi ya wachezaji wa cricket Tanzania wakishangilia katika moja ya michezo yao.

TCA yajipanga kuhakikisha U19 inanyakua tiketi ya fainali za dunia katika michuano ya kufuzu daraja la pili Afrika itakayofanyika Lusaka mwezi Agost mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS