Polisi yawakamata vinara mtandao wa Panya Road

Mkuu wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi Suleiman Kova.

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia vijana sita linalowatuhumu kuwa ni viongozi wa makundi ya kihalifu, likiwemo la Panya Road au maarufu kama Mmbwa Mwitu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS