Kawe yakabiliwa na miundombinu mibovu ya barabara

Mvua na mafuriko imekuwa chanzo cha kuharibu miundombinu kama inavyoonekana pichani hapo juu.

Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, linakabiliwa na kuzorota kwa huduma mbalimbali za kijamii ikiwemo miundombinu ya barabara, afya pamoja na elimu, huku idadi kubwa ya vijana katika jimbo hilo wakiwa hawana shughuli za kufanya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS