Nikki kusaidia watoto na upatikanaji wa ajira

Nikki wa Pili

Rapa Nikki wa Pili ambaye kwa sasa anasumbua katika chati na ngoma yake mpya Sitaki Kazi ft Ben Pol na G Wara Wara, ameamua kuonyesha mfano kwa kuanzisha taasisi ambayo itasaidia vijana kujiajiri wenyewe, ambayo inafahamika kwa jina Twaonekana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS