Dar yaongoza kwa uhalifu wa kemikali za sumu

Mkemia Mkuu wa serikali, Prof Samwel Manyele

Mkemia mkuu wa serikali Profesa Samwel Manyele ameomba wananchi kufichua uhalifu wa matukio ya sumu zinazotokana na kemikali kwa ajili ya kukomesha matukio hayo hapa nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS