Tanzania U15 yazidi kung'ara AYG Botswana
Tanzania inaendelea kufanya vizuri kwenye Michezo ya Afrika kwa Vijana (AYG) kwa upande wa mpira wa miguu kwa vijana wenye umri chini ya miaka 15 baada ya leo (Mei 23 mwaka huu) baada ya kuwachapa wenyeji Botswana mabao 2-0.