Kanja ajipanga kwa colabo na TI Kanja Akiendelea kuupenyeza muziki wake kimataifa rapa Kanja King kutoka nchini Kenya mwenye makazi yake huko Atlanta nchini Marekani yu mbioni kufanya kolabo na rapa nyota T.I Read more about Kanja ajipanga kwa colabo na TI