Moshi kuzungusha kikwetu kwetu kesho
Kilimanjaro Music Tour 2014, inatarajia kuandika historia ya aina yake hapo kesho katika uwanja wa Ushirika Moshi, pale ambapo wasanii wakali kabisa wa muziki hapa Bongo watakapopanda Live kwa ajili ya kufanya onesho la kukata na shoka.