COSTECH yaahidi kuendelea kuwezesha vijana
Vijana nchini Tanzania wameshauriwa kuto kata tamaa na kuona kwamba teknolojia ya sayansi ni vitu visivyowezekana katika kujiajiri, badala yake kufanya jitihada na kuelekeza nguvu zao kwenye kusomea masomo hayo.