Watu 190 wakosa Makazi Mbeya kwa Mafuriko

Moja ya nyumba zilizoathirika na mvua hizo

Shule moja na nyumba zaidi ya 30 zimebomoka na kusababisha watu zaidi ya 190 kukosa makazi baada ya maporomoko ya udongo kutokea wilayani Ileje, mkoani Mbeya kutokana na mafuriko.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS