Mashindano ya vyuo vikuu EA kufanyika Nairobi

Wanamichezo toka chuo kikuu cha Mkwawa wakipita kwa maandamano ya ufunguzi wa mashindano ya vyuo vikuu Afrika Mashariki mwaka 2013 yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Mashindano ya michezo mbalimbali kwa vyuo vikuu vya nchi za Afrika Mashariki yanatarajiwakufanyika jijini Nairobi kuanzia mwezi julai mwaka huu

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS