Upungufu wa walimu kikwazo kwa masomo ya sayansi

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini Tanzania, Bi. Jennister Mhagama.

Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jenister Mhagama amesema upungufu wa idadi ya walimu katika masomo ya Sayansi ndiyo sababu kubwa inayochangia wanafunzi wengi kutovutiwa na somo hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS