Bunge lataka upendeleo kwa wawekezaji wazawa

Baadhi ya wachimbaji wadogo wadogo wakiwa kazini katika moja ya mikoa ya kanda ya ziwa nchini Tanzania.

Kambi ya Upinzania Bungeni imeitaka Serikali kuweka sheria zinazo walinda na kuwapendelea wawekezaji wazawa katika sekta ya uwekezaji wa rasilimali za taifa ikiwa ni pamoja na sekta ya mafuta na gesi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS