Mtu mwingine afa kwa dengue Dar
Mtu mmoja amefariki dunia kwa ugonjwa wa dengue hii leo katika hosipitali ya Mwananyamala Jijini Dar es Salaam na kufanya idadi ya watu walioripotiwa kufa katika hospitali ya hiyo kuwa wawili tangu kuibuka kwa ugonjwa huo.