Usajili Ligi Kuu Kuanza Juni 15 Usajili wa wachezaji kwa hatua ya kwanza msimu huu (2014/2015) unaanza Juni 15 hadi Agosti 3 mwaka huu wakati kipindi cha kutangaza wachezaji walioachwa au kusitishiwa mikataba ni kuanzia Juni 15-30 mwaka huu. Read more about Usajili Ligi Kuu Kuanza Juni 15