Mo Cheddah kurejea katika muziki

Mo Cheddah

Msanii wa muziki Mo Cheddah kutoka Nigeria, ametangaza ujio wake mpya katika game ya muziki, hii ikiwa ni baada ya kukaa nje ya muziki kwa miaka miwili mfululizo kwa mapumziko.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS