TPBO kuleta mapambano sita ya kimataifa
Rais wa Oganaization ya ngumi za kulipwa nchini TPBO awatahadharisha mabondia wa hapa nyumbani kujipanga kwani TPBO itawaleta mabondia bora na wenye viwango vya hali ya juu na kama hawatajipanga wataishia kupoteza mapambano yao.