Simba yaanza kusikiliza mapingamizi hii leo
zoezi la kuwahoji walioweka na kuwekewa pingamizi limeanza hii leo kwa kamati ya uchaguzi ya klabu ya Simba iliyochini ya mwenyekiti wake Dr. Damas Ndumbaro ambaye amewataka wanachama wa klabu hiyo kuwa makini na kanuni za uchaguzi.