Waumini waelimishwe umuhimu wa huduma bora za afya
Viongozi wa dini nchini Tanzania wametakiwa kuwapa elimu waumini wao namna ya kupata huduma za afya kutoka katika mfuko wa taifa wa bima ya afya kwa lengo la wananchi wenye kipato cha chini waweze kupata huduma hiyo pale wanapougua.