Lori la saruji lagonga magari madogo na kuua

Magari yaliyopata ajali

Mtu mmoja amepoteza maisha na wengine wawili kujeruhiwa kwenye ajali iliyosababishwa na lori lililobeba saruji  kufeli break na kuyagonga magari mawili madogo barabara ya Wazo Tegeta Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS