Kili Tour Moshi Jumamosi hii
Kilimanjaro Music Tour 2014, Jumamosi hii inatarajia kuandika historia ya aina yake katika uwanja wa Ushirika Moshi, pale ambapo wasanii wakali kabisa wa muziki hapa Bongo watakapopanda Live kwa ajili ya kufanya onesho la kukata na shoka.