Mgomo TAZARA bado upo pale pale
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (TAZARA) wameendelea na mgomo licha ya serikali kutangaza kuwalipa mishahara ya mwezi Februari na Aprili, ambapo wamesisitiza ni lazima walipwe mishahara yao yote kwanza.