Wabunge wapongezwa kuchangamkia elimu ya malezi
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maaalum imewapongeza Wabunge kwa utayari wao na kuwa mstari wa mbele katika suala la elimu ya malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto.