Watumishi wa umma wagoma Afrika Kusini Mamia kwa maelfu ya watumishi wa umma nchini Afrika Kusini wameanza mgomo wa nchi nzima kuhusiana na mishahara na mazingira ya kazi. Read more about Watumishi wa umma wagoma Afrika Kusini