Jamii imetakiwa kutambua umuhimu wa maktaba
Jamii imetakiwa itambue umuhimu wa matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kupitia huduma ya katalogi ya ki-electroniki katika maktaba ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa muhimu katika vitabu.