''Bodi ya ligi ongezeni umakini'' Yakubu
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu amewataka viongozi wa Bodi ya Ligi Tanzania kutafuta ufumbuzi na kuongeza umakini kuhakikisha nidhamu inaimarika zaidi katika mchezo wa soka.