Queens kamili kupambania mshindi wa tatu kesho
Kocha Mkuu Charles Lukula, amesema kikosi kiko tayari kuikabili Bayelsa Queens kutoka Nigeria kwenye mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika utakaopigwa kesho saa nne usiku katika Uwanja wa Prince Heritier Moulay.