Watumishi wa Afya Dar wapatiwa Elimu ya Ebola

Waziri wa afya Ummy Mwalimu

Serikali imewataka Watanzania kutokudharau tetesi yeyote watakayosikia juu ya uwepo wa mtu unayedhani ana dalili za  ugonjwa wa Ebola kufuatia ugonjwa huo kuua zaidi ya watu 130 nchini Uganda.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS