Serikali itaendelea kuunga mkono wasanii nchini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewahakikishia Wasanii kuwa Serikali ya Awamu ya Sita ya Mhe. Samia Suluhu Hassan itaendelea kuunga mkono wasanii wote, kwa kuhakikisha sekta za Utamaduni, Sanaa na michezo zinaendelea kuwanufaisha vijana wengi