Stars yaanza safari ya Morocco kwa kicheko
Taifa Stars imeanza vizuri hakati za kutafuta nafasi ya kufuzu kombe la mataifa Afrika nchini Morocco mwakani baada ya kuifunga Zimbabwe bao 1-0 katika mechi ya kwanza ya raundi ya kwanza iliyochezwa katika uwanja wa Taifa jijini DSM.