Vijana wanufaika na mafunzo ya urembo

Maznat Beuty College kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imefanikiwa kuwafadhili  vijana mbalimbali kutoka mtaani na kufanikiwa kuhitimu mafunzo ya ujasiriamali na urembo ambapo mafunzo hayo yatawasaidia kujikwamua kiuchumi na kuweza kujiajiri ili kuepuka utegemezi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS