Mwili wafukuliwa na kunyofolewa moyo
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amealiagiza Jeshi la Polisi mkoani humo, kufanya uchunguzi wa haraka kuwabaini watu waliohusika na tukio la kufukua mwili wa mwanamke Neema Mlomba na kunyofoa baadhi ya viungo vyake ikiwemo moyo.