Maafisa maendeleo ya jamii watakiwa kuongeza kasi
Maafisa Maendeleo ya Jamii wametakiwa kujipanga kwenda na kasi ya serikali ili kuchochea maendeleo ya jamii sambamba na sera, mikakati, sheria na miongozo mbalimbali wakati serikali ikiendelea kufanyia kazi changamoto za upungufu wa watumishi, mazingira ya kazi na sheria ya taaluma hiyo.