Akutwa na mkono wa albino kwenye begi
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limewakamata watu watano wanaodaiwa kuhusika na mauaji kijana Joseph Mathias (38) ambae ni mlemavu wa Ngozi [Albino) mkazi wa Kijiji cha Ngula wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza huku mmoja akikutwa na mkono wa mtu huyo ndani ya begi akisaka mganga amuuzie